Kiongozi wa Chama cha Democratic, DP, Mchungaji Mtikila, amewapongeza Wazanzibar kwa kupata uhuru wao kabla ya wenzao Watanganyika.
Mch. Mtikila ametoa pongezi hizo siku moja baada ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, SMZ, kuzindua rasmi bendera ya Taifa la Zanzibar, ambayo kwa fikra za Mchungaji huyo kinaonyesha kuwa Zanzibar sasa imepata uhuru kamili.
MDRRR